Kila mwanamke 1 kati ya 5 nchini Tanzania ana mahitaji yasiyofikiwa ya uzazi wa mpango

Terms of Use

The Guttmacher Institute encourages you to share this infographic freely to ensure that the debate is informed by facts, not misinformation.

Acknowledgments

Utafiti unaohusiana na mchoro huu wa maelezo umewekana kwa misaada kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uholanzi, Serikali ya Uingereza na Shirika la Ushirikiano la Maendeleo la Norway. Matokeo na hitimisho zilizomo ndani si lazima kuonesha nafasi na sera za wafadhili.